Native Bible

Job 20:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu.

Job 20:3 in English

Job 20:3 · Berean Standard Bible

I have heard a rebuke that insults me, and my understanding prompts a reply.

Context

1Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: 2“Mawazo yanayonisumbua yananisukuma kujibu, kwa sababu nimehangaika sana. 3Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. 4“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani, tangu zamani mwanadamu alipowekwa duniani, 5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.