Native Bible

Job 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu:

Job 20:1 in English

Job 20:1 · Berean Standard Bible

Then Zophar the Naamathite replied:

Context

1Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: 2“Mawazo yanayonisumbua yananisukuma kujibu, kwa sababu nimehangaika sana. 3Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.