Native Bible

Job 20:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake.

Job 20:14 in English

Job 20:14 · Berean Standard Bible

yet in his stomach his food sours into the venom of cobras within him.

Context

12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake, 13ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake. 14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 15Atatema mali alizozimeza; Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika. 16Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.