Ayubu 20:18
Job 20:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; hatafurahia faida itokanayo na biashara yake.
Job 20:18 in English
Job 20:18 · Berean Standard Bible
He must return the fruit of his labor without consuming it; he cannot enjoy the profits of his trading.
Context
16Atanyonya sumu za majoka;
meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua. 17Hatafurahia vijito,
mito inayotiririsha asali na siagi. 18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila;
hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu;
amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana;
hawezi kujiokoa mwenyewe kwa hazina zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.