Ayubu 19:5
Job 19:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu,
Job 19:5 in English
Job 19:5 · Berean Standard Bible
If indeed you would exalt yourselves above me and use my disgrace against me,
Context
3Mara kumi hizi mmenishutumu;
bila aibu mnanishambulia. 4Kama ni kweli nimepotoka,
kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe. 5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu,
na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, 6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya,
naye amekokota wavu wake kunizunguka. 7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu;
ingawa ninaomba msaada, hakuna haki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.