Native Bible

Job 19:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ni kweli nimepotoka, kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe.

Job 19:4 in English

Job 19:4 · Berean Standard Bible

Even if I have truly gone astray, my error concerns me alone.

Context

2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kuniponda kwa maneno yenu? 3Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. 4Kama ni kweli nimepotoka, kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe. 5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, 6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.