Native Bible

Job 19:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kuniponda kwa maneno yenu?

Job 19:2 in English

Job 19:2 · Berean Standard Bible

“How long will you torment me and crush me with your words?

Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kuniponda kwa maneno yenu? 3Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. 4Kama ni kweli nimepotoka, kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.