Native Bible

Job 19:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia.

Job 19:3 in English

Job 19:3 · Berean Standard Bible

Ten times now you have reproached me; you shamelessly mistreat me.

Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kuniponda kwa maneno yenu? 3Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. 4Kama ni kweli nimepotoka, kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe. 5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.