Native Bible

Job 19:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka.

Job 19:6 in English

Job 19:6 · Berean Standard Bible

then understand that it is God who has wronged me and drawn His net around me.

Context

4Kama ni kweli nimepotoka, kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe. 5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, 6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka. 7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; ameyafunika mapito yangu na giza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.