Native Bible

Job 19:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; ameyafunika mapito yangu na giza.

Job 19:8 in English

Job 19:8 · Berean Standard Bible

He has blocked my way so I cannot pass; He has veiled my paths with darkness.

Context

6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka. 7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; ameyafunika mapito yangu na giza. 9Amenivua heshima yangu, na kuniondolea taji kichwani pangu. 10Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; amelingʼoa tegemeo langu kama mti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.