Ayubu 19:7
Job 19:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; ingawa ninaomba msaada, hakuna haki.
Job 19:7 in English
Job 19:7 · Berean Standard Bible
Though I cry out, ‘Violence!’ I get no response; though I call for help, there is no justice.
Context
5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu,
na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, 6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya,
naye amekokota wavu wake kunizunguka. 7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu;
ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita;
ameyafunika mapito yangu na giza. 9Amenivua heshima yangu,
na kuniondolea taji kichwani pangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.