Native Bible

Job 19:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo? Hamtosheki kamwe na mwili wangu?

Job 19:22 in English

Job 19:22 · Berean Standard Bible

Why do you persecute me as God does? Will you never get enough of my flesh?

Context

20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; nimeponea nikiwa karibu kufa. 21“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo? Hamtosheki kamwe na mwili wangu? 23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu, laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu, 24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, au kuyachonga juu ya mwamba milele!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.