Ayubu 19:20
Job 19:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; nimeponea nikiwa karibu kufa.
Job 19:20 in English
Job 19:20 · Berean Standard Bible
My skin and flesh cling to my bones; I have escaped by the skin of my teeth.
Context
18Hata watoto wadogo hunidhihaki;
ninapojitokeza, hunifanyia mzaha. 19Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa;
wale niwapendao wamekuwa kinyume nami. 20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu;
nimeponea nikiwa karibu kufa. 21“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma,
kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo?
Hamtosheki kamwe na mwili wangu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.