Ayubu 19:18
Job 19:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata watoto wadogo hunidhihaki; ninapojitokeza, hunifanyia mzaha.
Job 19:18 in English
Job 19:18 · Berean Standard Bible
Even little boys scorn me; when I appear, they deride me.
Context
16Namwita mtumishi wangu, wala haitiki,
ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. 17Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu;
nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe. 18Hata watoto wadogo hunidhihaki;
ninapojitokeza, hunifanyia mzaha. 19Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa;
wale niwapendao wamekuwa kinyume nami. 20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu;
nimeponea nikiwa karibu kufa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.