Native Bible

Job 19:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe.

Job 19:17 in English

Job 19:17 · Berean Standard Bible

My breath is repulsive to my wife, and I am loathsome to my own family.

Context

15Wageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni; wananitazama kama mgeni. 16Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. 17Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe. 18Hata watoto wadogo hunidhihaki; ninapojitokeza, hunifanyia mzaha. 19Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; wale niwapendao wamekuwa kinyume nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.