Native Bible

Job 19:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni; wananitazama kama mgeni.

Job 19:15 in English

Job 19:15 · Berean Standard Bible

My guests and maidservants count me as a stranger; I am a foreigner in their sight.

Context

13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 14Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali; rafiki zangu wamenisahau. 15Wageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni; wananitazama kama mgeni. 16Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. 17Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.