Ayubu 19:14
Job 19:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali; rafiki zangu wamenisahau.
Job 19:14 in English
Job 19:14 · Berean Standard Bible
My kinsmen have failed me, and my friends have forgotten me.
Context
12Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu;
yamenizingira,
yamepiga kambi kulizunguka hema langu. 13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami;
wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 14Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali;
rafiki zangu wamenisahau. 15Wageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni;
wananitazama kama mgeni. 16Namwita mtumishi wangu, wala haitiki,
ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.