Native Bible

Job 19:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga.

Job 19:21 in English

Job 19:21 · Berean Standard Bible

Have pity on me, my friends, have pity, for the hand of God has struck me.

Context

19Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; wale niwapendao wamekuwa kinyume nami. 20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; nimeponea nikiwa karibu kufa. 21“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo? Hamtosheki kamwe na mwili wangu? 23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu, laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.