Ayubu 19:23
Job 19:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu, laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu,
Job 19:23 in English
Job 19:23 · Berean Standard Bible
I wish that my words were recorded and inscribed in a book,
Context
21“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma,
kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo?
Hamtosheki kamwe na mwili wangu? 23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu,
laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu, 24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma,
au kuyachonga juu ya mwamba milele! 25Ninajua kwamba Mkombozi* wangu yu hai,
naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.