Ayubu 19:25
Job 19:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninajua kwamba Mkombozi* wangu yu hai, naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi.
Job 19:25 in English
Job 19:25 · Berean Standard Bible
But I know that my Redeemer * lives, and in the end He will stand upon the earth.*
Context
23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu,
laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu, 24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma,
au kuyachonga juu ya mwamba milele! 25Ninajua kwamba Mkombozi* wangu yu hai,
naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. 26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa,
bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 27mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe:
mimi, wala si mwingine.
Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.