Native Bible

Job 19:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, au kuyachonga juu ya mwamba milele!

Job 19:24 in English

Job 19:24 · Berean Standard Bible

by an iron stylus on lead, or chiseled in stone forever.

Context

22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo? Hamtosheki kamwe na mwili wangu? 23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu, laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu, 24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, au kuyachonga juu ya mwamba milele! 25Ninajua kwamba Mkombozi* wangu yu hai, naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. 26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.