Native Bible

Job 19:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu;

Job 19:26 in English

Job 19:26 · Berean Standard Bible

Even after my skin has been destroyed, yet in my flesh * I will see God.

Context

24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, au kuyachonga juu ya mwamba milele! 25Ninajua kwamba Mkombozi* wangu yu hai, naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. 26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 27mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe: mimi, wala si mwingine. Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana! 28“Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.