Ayubu 17:4
Job 17:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi.
Job 17:4 in English
Job 17:4 · Berean Standard Bible
You have closed their minds to understanding; therefore You will not exalt them.
Context
2Hakika wenye mizaha wamenizunguka;
macho yangu yamebaki kutazama uadui wao. 3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai.
Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu,
kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira,
macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu,
mtu ambaye watu humtemea mate usoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.