Native Bible

Job 17:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika wenye mizaha wamenizunguka; macho yangu yamebaki kutazama uadui wao.

Job 17:2 in English

Job 17:2 · Berean Standard Bible

Surely mockers surround me, and my eyes must gaze at their rebellion.

Context

1Moyo wangu umevunjika, siku zangu zimefupishwa, kaburi linaningojea. 2Hakika wenye mizaha wamenizunguka; macho yangu yamebaki kutazama uadui wao. 3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.