Ayubu 17:3
Job 17:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu?
Job 17:3 in English
Job 17:3 · Berean Standard Bible
Give me, I pray, the pledge You demand. Who else will be my guarantor?
Context
1Moyo wangu umevunjika,
siku zangu zimefupishwa,
kaburi linaningojea. 2Hakika wenye mizaha wamenizunguka;
macho yangu yamebaki kutazama uadui wao. 3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai.
Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu,
kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira,
macho ya watoto wake yatashindwa kuona.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.