Ayubu 17:6
Job 17:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, mtu ambaye watu humtemea mate usoni.
Job 17:6 in English
Job 17:6 · Berean Standard Bible
He has made me a byword among the people, a man in whose face they spit.
Context
4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu,
kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira,
macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu,
mtu ambaye watu humtemea mate usoni. 7Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi;
umbile langu lote ni kama kivuli. 8Watu wanyofu wanatishwa na hili;
watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.