Ayubu 17:7
Job 17:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; umbile langu lote ni kama kivuli.
Job 17:7 in English
Job 17:7 · Berean Standard Bible
My eyes have grown dim with grief, and my whole body is but a shadow.
Context
5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira,
macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu,
mtu ambaye watu humtemea mate usoni. 7Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi;
umbile langu lote ni kama kivuli. 8Watu wanyofu wanatishwa na hili;
watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu. 9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao,
nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.