Native Bible

Job 17:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu.

Job 17:9 in English

Job 17:9 · Berean Standard Bible

Yet a righteous one holds to his way, and the one with clean hands grows stronger.

Context

7Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; umbile langu lote ni kama kivuli. 8Watu wanyofu wanatishwa na hili; watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu. 9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 10“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. 11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.