Native Bible

Job 17:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu.

Job 17:10 in English

Job 17:10 · Berean Standard Bible

But come back and try again, all of you. For I will not find a wise man among you.

Context

8Watu wanyofu wanatishwa na hili; watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu. 9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 10“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. 11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 12Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana, kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.