Ayubu 17:12
Job 17:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana, kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’
Job 17:12 in English
Job 17:12 · Berean Standard Bible
They have turned night into day, making light seem near in the face of darkness.
Context
10“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena!
Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. 11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika,
vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 12Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana,
kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’ 13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi,*
kama nikikitandika kitanda changu gizani, 14kama nikiuambia uharibifu, ‘Wewe u baba yangu,’
na kuliambia buu, ‘Wewe u mama yangu’ au ‘Dada yangu,’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.