Ayubu 17:11
Job 17:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu.
Job 17:11 in English
Job 17:11 · Berean Standard Bible
My days have passed; my plans are broken off— even the desires of my heart.
Context
9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao,
nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 10“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena!
Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. 11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika,
vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 12Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana,
kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’ 13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi,*
kama nikikitandika kitanda changu gizani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.