Native Bible

Job 16:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, na kunisagia meno yake; adui yangu hunikazia macho yake makali.

Job 16:9 in English

Job 16:9 · Berean Standard Bible

His anger has torn me and opposed me; He gnashes His teeth at me. My adversary pierces me with His eyes.

Context

7Ee Mungu, hakika umenichakaza; umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. 8Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. 9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, na kunisagia meno yake; adui yangu hunikazia macho yake makali. 10Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki; hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, na kuungana pamoja dhidi yangu. 11Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, na kunitupa katika makucha ya waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.