Native Bible

Job 14:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini na kisiki chake kufa udongoni,

Job 14:8 in English

Job 14:8 · Berean Standard Bible

If its roots grow old in the ground and its stump dies in the soil,

Context

6Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa. 7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. 8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini na kisiki chake kufa udongoni, 9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua na kutoa machipukizi kama mche. 10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.