Ayubu 14:10
Job 14:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena!
Job 14:10 in English
Job 14:10 · Berean Standard Bible
But a man dies and is laid low; he breathes his last, and where is he?
Context
8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini
na kisiki chake kufa udongoni, 9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua
na kutoa machipukizi kama mche. 10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake;
hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 11Kama vile maji yatowekavyo katika bahari,
au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, 12ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke;
hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena,
wanadamu hawataamka au kuamshwa
kutoka kwenye usingizi wao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.