Native Bible

Job 14:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua na kutoa machipukizi kama mche.

Job 14:9 in English

Job 14:9 · Berean Standard Bible

at the scent of water it will bud and put forth twigs like a sapling.

Context

7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. 8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini na kisiki chake kufa udongoni, 9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua na kutoa machipukizi kama mche. 10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 11Kama vile maji yatowekavyo katika bahari, au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.