Ayubu 14:7
Job 14:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma.
Job 14:7 in English
Job 14:7 · Berean Standard Bible
For there is hope for a tree: If it is cut down, it will sprout again, and its tender shoots will not fail.
Context
5Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka;
umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake
na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka. 6Hivyo angalia mbali umwache,
hadi awe amekamilisha muda wake
kama mtu aliyeajiriwa. 7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti;
kama ukikatwa utachipuka tena,
nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. 8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini
na kisiki chake kufa udongoni, 9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua
na kutoa machipukizi kama mche.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.