Native Bible

Job 14:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka; umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka.

Job 14:5 in English

Job 14:5 · Berean Standard Bible

Since his days are determined and the number of his months is with You, and since You have set limits that he cannot exceed,

Context

3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? Je, utamleta mbele yako katika hukumu? 4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? Hakuna awezaye! 5Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka; umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka. 6Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa. 7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.