Native Bible

Job 14:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa.

Job 14:6 in English

Job 14:6 · Berean Standard Bible

look away from him and let him rest, so he can enjoy his day as a hired hand.

Context

4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? Hakuna awezaye! 5Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka; umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka. 6Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa. 7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti; kama ukikatwa utachipuka tena, nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. 8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini na kisiki chake kufa udongoni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.