Native Bible

Job 14:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? Hakuna awezaye!

Job 14:4 in English

Job 14:4 · Berean Standard Bible

Who can bring out clean from unclean? No one!

Context

2Huchanua kama ua kisha hunyauka; huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu. 3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? Je, utamleta mbele yako katika hukumu? 4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? Hakuna awezaye! 5Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka; umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka. 6Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.