Ayubu 14:2
Job 14:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huchanua kama ua kisha hunyauka; huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu.
Job 14:2 in English
Job 14:2 · Berean Standard Bible
Like a flower, he comes forth, then withers away; like a fleeting shadow, he does not endure.
Context
1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke
siku zake ni chache nazo zimejaa taabu. 2Huchanua kama ua kisha hunyauka;
huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu. 3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo?
Je, utamleta mbele yako katika hukumu? 4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi?
Hakuna awezaye!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.