Native Bible

Job 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake ni chache nazo zimejaa taabu.

Job 14:1 in English

Job 14:1 · Berean Standard Bible

“Man, who is born of woman, is short of days and full of trouble.

Context

1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake ni chache nazo zimejaa taabu. 2Huchanua kama ua kisha hunyauka; huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu. 3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? Je, utamleta mbele yako katika hukumu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.