Ayubu 14:20
Job 14:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa.
Job 14:20 in English
Job 14:20 · Berean Standard Bible
You forever overpower him, and he passes on; You change his countenance and send him away.
Context
18“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika
na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake, 19kama maji yamalizavyo mawe,
na mafuriko yachukuavyo udongo,
ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu. 20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka;
waibadilisha sura yake na kumwondoa. 21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu;
kama wakidharauliwa, yeye haoni. 22Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe,
naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.