Ayubu 14:19
Job 14:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kama maji yamalizavyo mawe, na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu.
Job 14:19 in English
Job 14:19 · Berean Standard Bible
as water wears away the stones and torrents wash away the soil, so You destroy a man’s hope.
Context
17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko,
nawe utazifunika dhambi zangu. 18“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika
na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake, 19kama maji yamalizavyo mawe,
na mafuriko yachukuavyo udongo,
ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu. 20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka;
waibadilisha sura yake na kumwondoa. 21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu;
kama wakidharauliwa, yeye haoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.