Native Bible

Job 14:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko, nawe utazifunika dhambi zangu.

Job 14:17 in English

Job 14:17 · Berean Standard Bible

My transgression would be sealed in a bag, and You would cover over my iniquity.

Context

15Utaniita nami nitakuitika; utakionea shauku kiumbe ambacho mikono yako ilikiumba. 16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, lakini hutazifuatia dhambi zangu. 17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko, nawe utazifunika dhambi zangu. 18“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake, 19kama maji yamalizavyo mawe, na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.