Ayubu 14:15
Job 14:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utaniita nami nitakuitika; utakionea shauku kiumbe ambacho mikono yako ilikiumba.
Job 14:15 in English
Job 14:15 · Berean Standard Bible
You will call, and I will answer; You will desire the work of Your hands.
Context
13“Laiti kama ungenificha kaburini,*
na kunisitiri hadi hasira yako ipite!
Laiti ungeniwekea wakati,
na kisha ukanikumbuka! 14Je, kama mtu akifa, aweza kuishi tena?
Siku zote za kazi zangu ngumu
nitangojea kufanywa upya kwangu. 15Utaniita nami nitakuitika;
utakionea shauku kiumbe ambacho mikono yako ilikiumba. 16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu,
lakini hutazifuatia dhambi zangu. 17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko,
nawe utazifunika dhambi zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.