Native Bible

Job 14:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake,

Job 14:18 in English

Job 14:18 · Berean Standard Bible

But as a mountain erodes and crumbles and a rock is dislodged from its place,

Context

16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, lakini hutazifuatia dhambi zangu. 17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko, nawe utazifunika dhambi zangu. 18“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake, 19kama maji yamalizavyo mawe, na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu. 20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.