Native Bible

Job 14:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; kama wakidharauliwa, yeye haoni.

Job 14:21 in English

Job 14:21 · Berean Standard Bible

If his sons receive honor, he does not know it; if they are brought low, he is unaware.

Context

19kama maji yamalizavyo mawe, na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu. 20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa. 21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; kama wakidharauliwa, yeye haoni. 22Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe, naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.