Native Bible

Job 14:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe, naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”

Job 14:22 in English

Job 14:22 · Berean Standard Bible

He feels only the pain of his own body and mourns only for himself.”

Context

20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa. 21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; kama wakidharauliwa, yeye haoni. 22Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe, naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.