Ayubu 13:10
Job 13:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakika angewakemea kama mkiwapendelea watu kwa siri.
Job 13:10 in English
Job 13:10 · Berean Standard Bible
Surely He would rebuke you if you secretly showed partiality.
Context
8Mtamwonyesha upendeleo?
Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? 9Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi?
Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? 10Hakika angewakemea
kama mkiwapendelea watu kwa siri. 11Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi?
Je, hofu yake isingewaangukia ninyi? 12Maneno yenu ni mithali za majivu;
utetezi wenu ni ngome za udongo wa mfinyanzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.