Ayubu 13:8
Job 13:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?
Job 13:8 in English
Job 13:8 · Berean Standard Bible
Would you show Him partiality or argue in His defense?
Context
6Sikieni sasa hoja yangu;
sikilizeni kusihi kwangu. 7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu?
Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 8Mtamwonyesha upendeleo?
Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? 9Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi?
Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? 10Hakika angewakemea
kama mkiwapendelea watu kwa siri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.